IQNA

Qiraa ya Aya ya 18 ya Surah Al‑Fath kutoka kwa Ustadh Mohammad Kakavand

IQNA- Kampeni ya kiroho ijulikanalo kama “Kuelekea Ushindi kwa Uongozi wa Mwenyezi Mungu(Wilayah)” limeandaliwa na IQNA kwa mnasaba wa kuchaguliwa kwa Kiongozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, pamoja na kiapo cha utii kilichotolewa kwake.
Katika Aya ya 18 ya Surah Al‑Fath ya Qur'ani Tukufu tunasoma:

Kwa hakika Mwenyezi Mungu amewapa radhi Waumini walipo fungamana nawe chini ya mti, na alijua yaliyomo nyoyoni mwao. Basi akateremsha utulivu juu yao, na akawalipa kwa Ushindi wa karibu.