Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa
IQNA-Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kimesema kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Israel dhidi ya Iran ni sawa na “kusaidia kambi ya ukafiri dhidi ya ndugu Waislamu” na kwa hivyo ni “haramu kabisa.”
Habari ID: 3482238 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/14
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa Waislamu kusimama kwa umoja katika kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Kiislamu.
Habari ID: 3482224 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/10
IQNA-Klipu ya video cha mkutano wa mwisho wa Kiongozi Shahidi pamoja na jamii ya Qur’ani Tukufu ya Iran, ambao uliandaliwa katika muundo wa mkusanyiko wa ‘Uns na Qur’an’ mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3482214 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/08
Rais wa Iran katika Mazungumzo ya Simu na Rais wa Ufaransa:
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amemwambia mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuwa Tehran iko tayari kuendelea kwa dhati kupitia njia za kidiplomasia ili kukomesha vita, huku ikisisitiza umuhimu wa kulindwa kwa haki za taifa la Iran.
Habari ID: 3482213 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/07
IQNA – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kusitisha kujipanga upande mmoja na kushirikiana na pande zinazoiwekea uadui Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3482210 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/07
IQNA – Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia (Urusi) amewasilisha ujumbe wa shukrani kutoka kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, kwa Mwenyekiti wa Baraza la Mufti wa Shirikisho la Russia.
Habari ID: 3482187 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/01
IQNA-Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametangaza mwanzo wa “sura mpya” kwa Mlango Bahari wa Hormuz, njia ya kimkakati ya baharini.
Habari ID: 3482185 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/01
IQNA- Kampeni ya kiroho ijulikanalo kama “Kuelekea Ushindi kwa Uongozi wa Mwenyezi Mungu(Wilayah)” limeandaliwa na IQNA kwa mnasaba wa kuchaguliwa kwa Kiongozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, pamoja na kiapo cha utii kilichotolewa kwake.
Habari ID: 3482166 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/26
IQNA – Sheikh Osama Karbalayi, msomaji wa kimataifa wa Qur’ani kutoka Iraq, amesisitiza kuwa misimamo ya qari wa Kuwait, Mishary Rashid Al‑Afasi, katika kuhalalisha uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, inapingana na kiini cha mafundisho ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3482164 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/26
IQNA – Msomaji mashuhuri wa Ibtihal kutoka Misri na jaji wa mashindano ya Qur’ani ametangaza kuwa atatayarisha kasida yenye maudhui ya Qur’ani ili kukabiliana na mashambulizi ya yaliyofanywa na qari mmoja kutoka Kuwait dhidi ya Iran na mhimili wa muqawama.
Habari ID: 3482162 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/25
IQNA-Rais wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kusimama upande wa amani, utulivu na mahusiano ya kindugu katika eneo, akibainisha kwamba usalama wa eneo unapaswa kuhakikishwa na mataifa ya eneo hilo yenyewe.
Habari ID: 3482145 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/17
IQNA – Profesa wa chuo kikuu na mwanachuo wa chuo cha Kiislamu (Hawzah) amelaani mashambulizi ya adui wa Kizayuni na Kimarekani dhidi ya vituo vya kisayansi, kitamaduni na miundombinu ya miji ya Iran wakati wa Vita vya Ramadhani.
Habari ID: 3482140 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/13
IQNA – Bendera nyeusi iliyokuwa juu ya kuba tukufu ya Haramu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, imeondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na bendera ya kijani.
Habari ID: 3482136 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/12
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Hosseini Khamenei, amesema kuwa watu wa Iran ni “washindi wa hakika” katika uwanja wa mapambano, akiongeza kwamba Iran haijawahi kutaka vita, lakini pia haitapuuza haki zake halali.
Habari ID: 3482133 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/10
Msomi wa Qur’ani Iraq
IQNA – Mwanazuoni na mhadhiri wa Kiiraq anayehusika na masomo ya Qur’ani amesisitiza athari chanya zilizotokana na kuuawa shahidi kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam SayyidAli Khamenei, katika kuimarisha harakati za mapambano ya Kiislamu katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3482132 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/09
IQNA-Hafla za kuadhimisha Arubaini ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, Imam Khamenei (Mwenyezi Mungu Amrehemu) zimefanyika Alhamisi hii kote Iran kwa kuwajumuisha mamilioni ya wananchi waombolezaji.
Habari ID: 3482129 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/09
IQNA – Kama ilivyo kwa baadhi ya mataifa mengine katika eneo la Asia Magharibi, wananchi wa Iraq wamejitokeza kusherehekea kile walichokitaja kuwa ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3482128 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/08
IQNA-Baraza Kuu la Usalama wa Taifa limetoa taarifa kuhusu ushindi wa kihistoria wa Iran katika vita vya tatu vilivyolazimishwa dhidi yake, pamoja na kukubaliwa kwa masharti ya Iran na upande wa adui.
Habari ID: 3482126 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/08
IQNA – Baadhi ya wanazuoni na maqari mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu katika siku za karibuni wametangaza msimamo wao wa kulaani vikali uvamizi ulioanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482123 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/07
IQNA – Qari wa Qur’ani Tukufu kutoka Kuwait ameunga mkono shambulio vita haramu vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuibua hasira kubwa na ukosoaji kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3482115 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/03