Warsha ya Fasihi ya Q'ani na Taahira Yake katika Lugha ya Kiarabu itafanyika kesho Alkhamisi katika mji mkuu wa Azerbaijan, Baku.
Warsha hiyo itahudhuriwa na wataalamu wa lugha ya Kiarabu na wanazuoni mashuhuri.
Mwenyekiti wa Kituo cha Utamaduni cha Misri mjini Baku Adil Darwish atahutubia warsha hiyo kuhusu taathira za fasihi na lugha tamu ya Qur'ani katika lugha ya Kiarabu.
Warsha hiyo ni katika silisila ya harakati za Kituo cha Utamaduni cha Misri nchini Azerbaijan. 683132