Watu waliohutubu kwenye kikao hicho walibainisha pande tofauti za muujiza wa kielimu na sunna za Mtume (saw) na kusisitiza udharura wa kufundishwa kizazi cha vijana umuhimu na jambo hilo. Baadhi ya wanafunzi na watafiriti waliohudhuria kikao hicho waliwasilisha utafiti na uchunguzi wao mbalimbali kuhusiana na muujiza wa kielimu na Sunna za Mtume (saw) ambapo walishiriki walinufaika nao. 774451