Wizara ya Afya ya Iran inayosimamia vyuo vikuu vya tiba nchini imesema warsha hizo zitaendeshwa na makari mashuhuri.
Watakaoshiriki katika warsha hizo ni wahadhiri, wanachuo na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya tiba.
Wataalamu wanatazamiwa kutatua matatizo ya kiraa ya watakaohudhuria warsha hizo.
Warsha ya kwanza ya kustawisha kiwango cha kiraa itafanyika katika Chuo Kikuu cha Sabzevar cha Sayansi za Tiba.
811252