Hafla ya maombolezo ya Imam Hussein AS, ilifanyika tarehe 7 Muharram (9 Oktoba) katika Madrassah ya Al Batoul katika mji wa Dar es Salaam, Tanzania kwa ushirikiano wa Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini humo.
Madrassah
ya Al Batoul inafungamana na Taasisi ya Al Zahra (SA) nchini Tanzania
ambayo inasimamiwa na wanawake Watanzania ambao walihitimu katika vyuo
vya kidini nchini Iran.

Maombolezo ya Imam Hussein AS katika Madrassah ya Al Batoul, Tanzania