IQNA

Qari wa Iran Ustadh Hashem Roghani akisoma Aya za Surah Muhammad

IQNA – Ustadh Hashem Roghani ni msomaji mashuhuri wa Qur’ani Tukufu anayejulikana kimataifa na pia ni qari rasmi wa Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.

Hapa unaweza kusikiliza tilawa yake ya aya za 1 hadi 4 za Surah Muhammad katika Qur’ani Tukufu.

Kishikizo: Qari Hashem Roghani ، qari
Habari zinazohusiana