Munafisah ina maana ya kupokezana kusoma aya za Qur’ani Tukufu. Seyed Javad Hosseini na Saeed Haddadian walipokezana kusoma aya za Sura Ad-Duha.