IQNA

Maombolezo ya Kiongozi Shahidi Ayatullah Khamenei katika usiku wa pili

TEHRAN – Kwa usiku wa pili mfululizo (Julay 6), umati mkubwa wa wananchi ulijitokeza katika Ukumbi wa Sala (Musalla) wa Imam Khomeini (RA) jijini Tehran, ili kushiriki katika shughuli za kuaga mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.