IQNA

Msafara wa Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi huko Najaf al-Ashraf, Iraq

Shughuli ya kuusindikiza mwili mtukufu wa Imamu Mujahid Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (qaddasallahu nafsahu al-zakiyyah) ilifanyika siku ya Jumatano, tarehe 8 Julai , katika mji mtukufu wa Najaf al-Ashraf, kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi waombolezaji wa Iraq. Baada ya msafara wa mazishi, Ayatullah Sayyid Muhammad-Taqi al-Hakim, mmoja wa wanazuoni wa Iraq, aliswalisha Swala ya Maiti ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ndani ya haram tukufu ya Amir al-Mu’minin Ali (AS).
 
 

 

Habari zinazohusiana