IQNA

Usomaji wa Aya za Sura Al-Furqān na Qari wa Iran, Hamed Alizadeh

IQNA – Qari wa Iran, Hamed Alizadeh, hivi karibuni alisoma Aya za 71 hadi 77 za Sura Al-Furqān pamoja na Sura An-Nasr katika hafla ya Qur’ani iliyofanyika katika haram takatifu ya Imamu Ridha (AS) mjini Mashhad.
Kishikizo: Hamed Alizadeh ، qari ، qurani tukufu