IQNA

Qarii Mashuhuri wa Iran asoma Qur’ani katika Majlisi ya Kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi

TEHRAN (IQNA) – Qari mashuhuri wa Iran, ndugu Qassem Moqaddami, amesoma aya tukufu kutoka Surah Al-Fajr katika majlisi ya kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, iliyofanyika mjini Tehran tarehe 14 Julai 2026.