Msikiti wa Jamia wa Brussels, Ubelgiji
Msikiti wa Jamia wa Brussels ni msikiti wa kale zaidi katika mji huo mkuu wa Ubelgiji na uko katika Bustani ya Cinquantenaire. Msikiti huo pia unatambuliwa kama Kituo cha Uislamu na Utamaduni nchini Ubelgiji.
copied
https://iqna.ir/H0EYry