Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu laanza Tehran
Kongamano la 32 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limefunguliwa katika sherehe iliyohudhuriwa na rais Hassan Rouhani wa Iran leo 24 November 2018 sawa na 16 Rabiul Awwal 1440 H mjini Tehran.
copied
https://iqna.ir/H0EZ9z