IQNA

Haram Takatifu ya Alawi Yapambwa

Kwa mnasaba wa 15 Ramadhani ambayo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Imam Hassan Mujtaba (AS), Haram Takatifu ya Alawi yaani Imam Ali (AS), imepambwa na wahudumu wa eneo hilo takatifu.