IQNA

Msikiti wa Sultan nchini Singapore

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Sultan au Masjid Sultan katika eneo la kihistoria la Kamponga Gelam ni kitovu cha jamii wa Waislamu nchini Singapore.

Singapore au Singapuri ni nchi ndogo na iliyostawi katika Asia ya Kusini-Mashariki ambayo uchumi wake unategemea zaidi biashara, hasa benki pamoja na viwanda. Waislamu wanakadiriwa kuwa asilimia 15 ya watu wote milioni 5.6.


 
Kishikizo: singapore ، waislamu ، msikiti