IQNA

Picha za Santa Claus katika mwaka 2021

TEHRAN (IQNA)- Santa Claus (Baba Krismasi) ni nembo mashuhuri katika utamaduni wa Krismasi katika nchi za Ulaya na Marekani na nchi zingine zenye wakristo wengi.

Baba Krismasi ni mtu wa kufikirika anayedhaniwa kuleta zawadi hasa kwa watoto  wema mkesha wa Krismasi au usiku wa Noeli.