IQNA

Uvunaji maua kusini mmagharibi mwa Iran

AHVAZ (IQNA) – wakulima katika eneo la Hamidiyeh, mkoani Khuzestan kusini magharibi mwa Iran wameanza kuvuna aina mbali mbali za maua katika msimu huu wa machipuo.