Qiraa ya kila siku ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Imam Ali AS
TEHRAN (IQNA) - Mamia ya waumini wamehudhuria vikao vya qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Imam Ali AS katika mji wa Najaf nchini Iraq. Vikao hivyo vya Qur'ani vitakuwa vinaendelea kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.