IQNA

Bahman 22

Maonyesho ya Fataki mjini Tehran katika Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

TEHRAN (IQNA) – Fataki zilimulika angani kwenye Uwanja wa Azadi (uhuru) hapa katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Ijumaa usiku katika mkesha wa maadhimishi ya mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.