Siku ya Kwanza ya Mashindano ya 39 Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Siku ya kwanza ya fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilifanyika Jumapili mjini Tehran katika kategoria za wanaume na wanawake.
copied
https://iqna.ir/H0EaQ1