IQNA

Ziwa la Akgöl huko Konya

TEHRAN (IQNA) – Likiwa katika eneo la Konya nchini Uturuki, Ziwa la Akgol na mazingira yake ni makazi ya ndege wengi wa majini na wa aina mbalimbali. Zaidi ya aina 200 za ndege wameonekana wakiishi katika eneo hilo.