IQNA

Mahujaji Huadhimisha Ibada za Hija Siku ya Arafah

Mahujaji wa Kiislamu wapatao milioni 2.5 kutoka kote ulimwenguni walianza kuadhimisha Siku ya Arafah siku ya Jumanne,

Mahujaji wa Kiislamu wapatao milioni 2.5 kutoka kote ulimwenguni walianza kuadhimisha Siku ya Arafah siku ya Jumanne, wakiendelea na ibada za Hija kwa sala za siku nzima na kusoma Qur’ani Tukufu kwenye mlima wa mawe unaojulikana kama Mlima Arafat, mashariki mwa Makka.