Msikiti wa Mtume (SAW) huko Madina: Picha
MADINA (IQNA) – Kila mwaka, mamilioni ya Waislamu huingia kwenye Msikiti wa Mtume (SAW) ambao ni maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi huko Madina, Saudi Arabia. Eneo hilo ni la pili kwa utakatifu katika Uislamu.
copied
https://iqna.ir/H0Eagi