IQNA

Qiraa ya Mahdi Ebrati katika kikao cha Qur'ani za Masjid al-Nabi (SAW) + Video

IQNA-Mehdi Ebrati, mmoja wa wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliotumwa Hija mwaka 1403, unaojulikana kama Msafara wa Nur, alisoma aya za Qur'ani katika kikao cha Qur'ani cha Al Masjid an-Nabi (SAW).