IQNA

Aya za Maisha: Ni nani aliye mchamngu zaidi?

Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Surah Al-Hujurat 13