Sherehe za Milad un Nabii jijini Tehran, Iran
IQNA - Maelfu ya watu walikusanyika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran katikaviwanja viwili kuu mnamo Septemba 20, 2024, kuadhimisha Milad un Nabii, yaani kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
copied
https://iqna.ir/H0EbAM