Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah katika Picha
IQNA - Baada ya kuongoza harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah kwa ushindi mwingi kwa zaidi ya miaka 30, Sayyid Hassan Nasrallah, katibu mkuu wa harakati hiyo, alijiunga na mashahidi wengine wa muqawama.