Haram ya Bibi Masoumah (SA) katika mkesha wa Maadhimisho ya kufa shahidi Bibi Zahra (SA)
IQNA -Wafanyaziara wanaotembelea kaburi tukufu la Bibi Masoumah (SA) huko Qom, Iran, wamemboleza kumbukumbu ya kuuawa shahidi Bibi Fatima Zahra (SA), binti ya Mtume Muhammad (SAW), usiku wa kuamkia Alhamisi, Novemba 14, 2024.