Kitengo cha Wanawake katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran
IQNA - Kitengo cha wanawake katika fainali za Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran kiliendeleza shughuli zake katika mji wa Tabriz, mkoa wa Azerbaijan Mashariki tarehe 4 Desemba 2024.