IQNA

Aya za Maisha: Ni mchezo, na pumbao, na pambo

IQNA-"Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto..."Sehemu ya aya ya 20 ya Surah Al Hadid ya Qur'ani Tukufu