Haram ya Imam Ali yapambwa kwa maua kabla ya Rajab 13
IQNA – Waislamu hasa wa madhehebu ya Shia wanapojiandaa kwa ajili ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) mnamo Rajab 13, inayokuja Januari 14 mwaka huu, kaburi au haramu yake takatifu huko Najaf inapambwa na maelfu ya maua.