IQNA

Sauti ya Wahy

Nani wanawashukia Mashet´ani?

Katika dunia yenye kelele na haraka ya leo, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mkusanyiko wa 'Sauti ya Wahy' ukiwa na chaguo la aya za Qur’ani ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye utulivu."
 

هَلْ أُنَبِّئُکُمْ عَلَى مَنْ تَنَزَّلُ الشَّیَاطِینُ ﴿۲۲۱﴾ تَنَزَّلُ عَلَى کُلِّ أَفَّاکٍ أَثِیمٍ ﴿۲۲۲﴾

Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet´ani?

Wanamshukia kila mzushi mkubwa mwingi wa dhambi. Sura Ash-Shu'araa 2021-222