IQNA

Picha: Mazishi ya Kiongozi Shahidi Jijini Qom

IQNA – Wakazi wa mji mtakatifu wa Qom wamejitokeza kwa wingi kuusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, katika mazishi yaliyofanyika Jumanne, Julai 7, 2026. Msafara wa mazishi hayo ulianzia katika Msikiti wa Jamkaran na kuelekea katika Haram takatifu ya Bibi Masoumeh (SA).