iqna

IQNA

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimeandaa kongamano kubwa litakalowajumuisha pamoja maulama wa Kishia na Kisuni kutoka nchi zote za Kiarabu. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, lengo la kongamano hilo ni kutatua baadhi ya tofauti ndogo zilizopo kati ya pande mbili.
Habari ID: 2708738    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/14