IQNA

Mkutano wa Kiongozi Muadhamu na Wageni wa Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei alikutana na wageni na waandaaji wa Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran tarehe 21 Septemba 2024.