IQNA

Halqa ya Qur'ani Tukufu katika kaburi la Hafidh Shirazi katika Wiki ya Umoja

IQNA - Idara ya Kaburi la Hafidh, mshairi wa Kiirani wa karne ya 14, huko Shiraz liliandaa halqa za Qur'ani Tukufu mnamo Septemba 18, 2024, kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.