Masomo hayo yatawashirikisha watoto walio na umri wa kati ya miaka mitano hadi kumi. Masomo hayo yatakuwa yakiendeshwa kila siku ya Alkhamisi tokea saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja na nusu jioni.
Wazazi walio na hamu ya kuwaandikisha watoto wao kwenye masomo hayo wanaweza kuitembelea ofisi ya masomo ya Qur'ani ya Umm al-Humam ya Qatif ili kuhudumiwa na wasimamizi husika.
Ili kurahisisha shughuli ya uandikishaji majina ya watoto walio na hamu ya kushiriki kwenye masomo hayo wasimamizi wa masomo wamewezesha wazazi kusajili majina hayo kupitia jumbe fupi za simu za mkononi. 743673