IQNA

TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.

Kongamano hilo la kila mwaka litaanza Oktoba 19  hapa Tehran na litawashirikisha wasomi 50 kutoka ulimwengu wa Kiislamu.