kongamano

IQNA

IQNA – Mutawalli wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) amesisitiza kuwa kulea na kukuza haiba au shakhsia ya Kiislamu kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu ni msingi wa kujenga jamii kamilifu na yenye fadhila.
Habari ID: 3481935   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA – Chuo Kikuu cha Jamia Millia Islamia (JMI) mjini New Delhi, India, kilizindua rasmi kongamano kubwa la kimataifa la siku tatu siku ya Jumatano, likiwakusanya wasomi na wanazuoni kutoka pembe mbalimbali za dunia ili kuchambua kwa kina uhusiano hai kati ya mafundisho ya Qur’ani Tukufu na maendeleo ya sayansi ya kisasa.
Habari ID: 3481865   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/29

IQNA – Mkutano wa Kwanza wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu kwa Ajili ya Palestina uliofanyika Kuala Lumpur, Malaysia, umekamilisha shughuli zake kwa kutoa tamko la mwisho.
Habari ID: 3481844   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/25

IQNA – Sekretarieti ya Kongamano la Sita la Kimataifa la Imam Ridha (AS) imetoa mwaliko rasmi kwa wanazuoni na watafiti kuwasilisha makala zitakazojadili mada kuu za mkusanyiko huo wa kielimu.
Habari ID: 3481843   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/25

IQNA-Katika Mkutano wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu na Palestina uliofanyika Malaysia, wazungumzaji walilitaja suala la Palestina kuwa “ dira ya maadili ya Ummah wa Kiislamu” na kusisitiza umuhimu wa kuubadilisha umoja wa Kiislamu kutoka maneno ya majukwaani hadi mkakati wa kivitendo.
Habari ID: 3481833   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/22

IQNA – Kongamano la kwanza la kimataifa la “Qur’an ya Negel” limefanyika mjini Sanandaj siku ya Jumatatu, likiwakutanisha makari na wahifadhi wa Qur’an wanaozungumza Kikurdi kutoka Iran, Uturuki na Iraq.
Habari ID: 3481394   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/21

IQNA – Viongozi wa kidini nchini Iran wametangaza kuanzishwa kwa kongamano la kimataifa litakalowatambua na kuwaheshimu wanazuoni watatu mashuhuri wa Kiislamu ambao urithi wao umeathiri kwa kina fikra za kidini, kitamaduni na kisiasa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481007   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/27

IQNA: Qur’ani Tukufu ina maarifa ya kimataifa yanayopaswa kufafanuliwa, na ujumbe wake unapaswa kuwasilishwa kwa ulimwengu mzima, amesema Hujjatul Islam Mohsen Qara’ati, mwanazuoni wa Kiislamu na mtafsiri wa Qur’ani kutoka Iran.
Habari ID: 3480759   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/30

IQNA- Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu na Hadithi limefanyika kwa mafanikio makubwa Jijini Dar-es-Salaam - Tanzania, likiwakutanisha wasomaji mahiri wa Qur’an kutoka nchini Iran na ndani ya Tanzania..
Habari ID: 3480721   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/22

Hija
IQNA - Jeddah nchini Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa toleo la nne la Mkutano na Maonyesho ya Hija mapema mwaka ujao wa Miladia.
Habari ID: 3479908   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kongamano la 7 la Kimataifa Kuhusu Fikra za Qur'ani za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei limepokea makala zaidi ya 2,000, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479742   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Chuo Kikuu cha Shahid Beheshti huko Tehran kitaandaa Kongamano la pili la Kimataifa la Mafunzo ya Taaluma za Qur'ani mapema mwaka ujao.
Habari ID: 3479476   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Hija
IQNA – Kikao cha kimataifa cha kufungamana na Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wakati wa ibada ya Hija kimepengwa kufanyika Jumatatu hii kwa njia ya intaneti..
Habari ID: 3478948   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/08

Wageni walioshiriki katika Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu walitoa heshima zao kwa Imam Khomeini (R.A.) kwa kuhudhuria haram ya mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3477685   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02

Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la Kwanza wa Kimataifa wa Fikra za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani limemalizika hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476363   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06

Russia na Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la wanazuoni kuhusu masomo ya Kiislamu limepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Russia (Urusi) , Moscow mapema mwaka ujao.
Habari ID: 3475937   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 36 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litafanyika mjini Tehran kuanzia tarehe 17 hadi 22 Oktoba kwa kuhudhuriwa na wasomi na wanafikra kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475898   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Shirika la Habari za Qur'ani Tukufu la Kimataifa (IQNA) litafanya kongamano la kimataifa kupitia intaneti kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474898   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06

TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474432   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika Tehran na kushirikisha wasomi 50 maarufu duniani.
Habari ID: 3474429   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16