IQNA

Ben

Bendera nyeusi yapandishwa Harama ya Bibi Maasouma na Msikiti wa Jamkaran, Qom

TEHRAN (IQNA)- Kwa mnasaba wa kuanza mwezi wa Muharram wa kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS, bendera nyeusi zimepandishwa katika kuba za Haram ya Bibi Masouma SA na Msikiti wa Jamkaran mjini Qom.