IQNA

Tamthilia ya Kidini mjini Qom: Kutoka Uumbaji hadi Kuja kwa Mwokozi

QOM (IQNA) - Tamthilia ya kidini lililopewa jina la "Fasle Sheidaei" (msimu wa mapenzi) imechezwa katika mji wa Qum, ulio kati mwa Iran.

Tamthilia hii inahisi kisa  cha kuanzia uumbaji wa dunia hadi ujio wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe ujio wake), ambaye ni Mwokozi anayetarjiwa.