IQNA

Kikao cha Qur'aniKatika Haram ya Hadhrat Abul Fadhl Abbas (AS)

TEHRAN (IQNA) – Kikao cha Kusoma Qur’ani Tukufu kilifanyika siku ya Ijumaa, Machi 3, 2023, kwenye kaburi au Haram Takatifu ya Hadhrat Abul Fadhl Abbas (AS) huko Karbala, Iraq na kuhudhuriwa na baadhi ya makari wakuu wa Iraq pamoja na makumi ya wafanyaziara.