IQNA

Msikiti wa Baitul Mukarram wa Bangladesh katika Picha

TEHRAN (IQNA) – Baitul Mukarram ni msikiti wa kitaifa wa Bangledash ulio katika mji mkuu, Dhaka na unaweza kuwakaribisha zaidi ya waumini 42,000.