Mamia katika HaramTakatifu ya Shah Cheragh Waomboleza Kuuawa shahidi kwa Imam Sadiq (AS)
TEHRAN (IQNA) - Hafla yaa maombolezo ilifanyika Jumatatu usiku kwenye Haram (kaburi) Tukufu ya Shah Cheragh (AS) katika mji wa Shiraz kusini mwa Iran katika mkesha wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Sadiq (AS), Imam wa sita wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia.