IQNA

Siku ya Kwanza ya Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Qur'ani ya Zawadi ya Karbala

KARBALA (IQNA) – Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Qur’ani ya Zawadi ya Karbala yalianza Julai 9 huko Karbala, Iraq katika Haram Takatifu ya Imam Hussein AS. Hapa kuna picha za siku ya kwanza ya mashindano hayo.