Qari Idi Shaaban wa Tanzania akisoma Sura ad-Dhuha kwa mvuto wa aina yake
TEHRAN (IQNA) – Qari maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Tanzania Ustadh Idi Shaaban ni maarufu kwa kushikilia pumzi kwa muda mrefu wakati wa qiraa yake. Kinachofuata ni kisomo chake cha Sura ad-Dhuha ambacho kilinakiliwa miaka michache iliyopita.
copied
https://iqna.ir/H0EafO