IQNA - Msikiti wa Goharshad katika Haram ya Imam Ridha (AS) kaskazini Mashariki mwa Iran ni dhihirisho la kazi bora ya usanifu majengo wa kustaajabisha ambayo inaonyesha aina mbalimbali za sanaa ya Kiislamu, kama vile maandishi, kazi ya vigae, na muqarnas (aina ya mapambo kutani).
Zifuatazo ni baadhi ya picha kutoka kwa kitabu ambacho kimekusanya maandishi ya Msikiti wa Goharshad katika Haram ya Imam Ridha (AS), kilichochapishwa na Taasisi ya Ubunifu wa Kisanaa ya Haram ya Imam Ridha (AS).