IQNA

Qari wa Iran akisoma aya za Qur'ani za Sura Al-An'am

IQNA – Qari wa mtajika wa Iran Hamid Shakernejad hivi karibuni amesoma aya za 74-90 za Sura Al-An’am pamoja na aya za 1-9 za Surah Al-A'la kwenye Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS), Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran. Hii hapa sauti ya qiraa hiyo.
Qari wa Iran akisoma aya za Qur'ani za Sura Al-An'am