IQNA

Bango: Waumini wanafurahia Baraka za Mwenyezi Mungu

IQNA – Aya ya 171 ya Surah Al-Imran inabainisha kwamba waumini wanafurahia baraka za Mwenyezi Mungu Mtukufu kwani hapotezi thawabu za waumini.

IQNA – Aya ya 171 ya Surah Al-Imran inabainisha hivi "Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini. "

Poster: Believers Rejoice Allah’s Blessing